MATATIZO YA IMMA MJUZI KOMPYUTA NA NAMNA YA KUYAEPUKA INSI YA KUTATUA TATIZO HILI LA KUHARIBIKA KWA UBAO MAMA(MOTHERBOARD). 1. Utatuzi wa Shida(troubleshooting), (i) Angalia kama kuna “signal” zinazoonesha kama umeme unaingia kwenye Motherboard, hapa angalia kwenye “Power jeck” kama umeme unaingia kwenye motherboard. (ii) Pima “component” mbalimbali zinazounda mfumo mzima wa ubao mama, moja baada ya nyingine kwa kutumia kifaa kinachoitwa “Multimeter, ukigundua “component” ambayo ni mbovu waweza kuibadilisha. Kabla ya kuibadilisha hiyo “Component” yafaa ukaangalia vitu vifuatavyo; - Uthamani/ufanano wa “component” unazotaka kubadilisha. - Utendaji wa kazi wa “component” hiyo. (iii) Kuibadilisha “component” hiyo. Hapa utaamua kuibadilisha component hiyo kwa kuweka “component” nyingine ambayo ni nzima kama ilivyokuwa mwanzoni. (iv) Fanya usafi kwenye Ubao mama(Motherboard) pamoja na Kompyuta nzima kwa ujumla. (v) Washa Kompyuta yako. 2. Kubadilisha Ubao Mama (Ubao Mama