Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Kufunguliwa

MAOMBI YA FUNGUA MALANGO NA MILANGO-7 Mara baada ya kukufndisha juu ya FUNGUO TANO za kufungua malango na milango, sasa nataka nikufundishe juu ya kipengele kingine ambacho ni ; SILAHA NANE ZA KUFUNGUA MILANGO NA MALANGO YALIYOFUNGWA MBELE YAKO; Maombi yetu ya Kufungua Milango na Malango yaliyofungwa inahitaji Uhodari na Uthabiti katika Imani, hivyo lazima silaha hizi zitumike ndipo Milango na Malango yaliyofungwa yatafunguliwa. Kufungua kilichofungwa si kazi rahisi. Maandiko matakatifu yanasema; “Hatimaye mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kuzipinga hila za shetani; kwa maana kushindana kwetu si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa Roho, kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.” Waefeso 6:10-14 Maisha yetu ya Kristo yapo katika mgonga...

Injili

SOMO: UFALME NA MFALME ALIYEZUILIWA Mwinjilisti Emmanuel Nnko Mungu ameweka agano lake kwenye Biblia, ni vuzuri kujua kwamba Mungu tangu mwanzo agano lake lilikuwa ni kuujenga Ufalme hapa duniani. “Kisha Mfalme atawaambia wale walioko mkono wake wa kuume, Njoni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu” Mathayo25:34 Kabla mwanadamu hajaumbwa tayari Mungu alikuwa amejenga ufalme wake hapa duniani. “Maana wale aliowajua tangu asili, aliwachagua tangu asili wafananishwe na mfano wa Mwana wake, ili yeye awe mzaliwa wa kwanza miongoni mwa ndugu wengi. Na wale aliowachagua tangu asili, hao akawaita; na wale aliowaita, hao akawahesabia haki; na wale aliowahesabia haki, hao akawatukuza. Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu?” Warumi 8:29 Maisha yako hayajaanza tangu ulipozaliwa bali Mungu alikuchagua tangu asili kwaajili ya jambo aliloliweka ndani yako tangu kuumbwa kwa misingi ...

UJUMBE: KESHO ILIYOPIGWA KONA

MAUTI NA KUZIMU… Na  EMMANUEL NNKO by   New Hope Ministr Ujumbe : MAUTI NA KUZIMU Kila jambo lina nguzo linazozitegemea, na kila utawala una nguzo unaotegemea.. vilevile utawala washetani umejengwa juu ya nguzo ziitwazo MAUTI na KUZIMU.. Ayubu 38:18 na nguzo hizi mbili ndizo ambazo zinashikilia utawala wa shetani na ndio maana maeneo mengi ambayo kuzimu inatajwa basin a mauti ipo pia.. mfano katika kitabu cha zaburi 116 :3 .. HAPA UTAONA kila mahali ambapo mauti imetajwa basi kuna mahusiano na kuzimu .. MAANA YA MAUTI NA KUZIMU : MAUTI ni roho ambayo kazi yake ni kuuondoa uhai ulio ndani ya mtu. Na KUZIMU ni roho ambayo kazi yake ni kuwahifazi wale waliokufa.. ufunuo 6: 9, Isaya 28 :15 .. Mauti ni roho yenye akili na yenye kupanga.. ndio maana wanafunzi wa Yesu , walipomuona Yesu yuko juu ya maji, biblia inasema wanafunzi wa Yesu wakadhani wameona roho.. kumbe roho ina personality ina akili kili, inaweza kupanga na kutekeleza na pia yaweza kumpagaa mtu. Kwahiyo m...

MWANAMUZIKI MTANZANIA MWENYE ASILI YA ITALIA KUTUMBUIZA HOTELI YA MEDITERRANEO JUMAMOSI HII JIJINI DAR

Mwanamuziki Chantal Saroldi kutoka Italia. Mwanamuziki Chantal Saroldi (kushoto), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo mchana. Kulia ni Balozi wa Italia nchini, toka Italia. Balozi wa Italia nchini, Luigi Sccoto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, kuhusu tamasha la muziki litakalofanyika kesho Hoteli ya Mediterraneo iliyopo Kawe ambapo mwanamuziki huyo atatoa burudani. Mkurugenzi wa Hoteli ya Mediterraneo waandaaji wa tamasha hilo, Samantar Abdinur Lusuf (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni  mwanamuziki Chantal Saroldi  na Mmoja wa Wakurugenzi wa Hoteli hiyo, Alas Abdinur. Balozi wa Italia nchini, Luigi Sccoto (wa pili kulia), akiwa meza kuu na mwanamuziki huyo. Kulia ni mpiga kinanda wa mwanamuziki huyo Gianluca Tagliazucchi na wakurugenzi wa hoteli hiyo waandaaji wa tamasha hilo. Mkutano na wanahabari ukiendelea.   Dotto Mwaibale   Mwanamuziki wa miondoko ya Jazz kutoka  nchini Italia Mwen...

Kiteto

Timu ya mpira wa mikono kiteto imejiandaa kushindana na Timu itakayo kuwa teyari kwa mkoa wa manyara imezifunga Timu nyingi Sana, inahitaji kucheza na Timu zenye uwezo mkubwa, kama unahitaji mechi piga no 0755352480

Mahanaimu

"I am not interested in picking up crumbs of compassion thrown from the table of someone who considers himself my master. I want the full menu of rights." - Desmond Tutu, http://www.bquot.es/s/2873