Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Februari, 2018

CHANGAMOTO KATIKA LUGHA YA KISWAHILI KWENYE MAMBO YA KOMPYUTA (TEHAMA)

Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Kila jitihada zinazofanywa katika kufikia malengo fulani huwa hakukosi changamoto. Katika jitihada za kufanya Kiswahili kuwa lugha ya kiteknolojia kumetokea changamoto nyingi, moja wapo iliyo kuu kabisa ni kwamba lugha ya Kiswahili haimilikiwi na taifa lolote tajiri kwa hiyo katika harakatika za kuendeleza inakumbana na changamoto nyingi kama vile ukosefu wa fedha na hata utayari wa viongozi wa kisiasa kukiendeleza Kiswahili ni mdogo sana, hata hivyo harakati hizi zinapingwa na mataifa ambayo lugha zao zimeendelea sana kiteknolojia kwa kuhofia kwamba zitafunikwa na matumizi ya Kiswahili. Wapo tayari kutoa misaada ili kuendeleza lugha zao kukididimiza Kiswahili kitu ambacho kinafanya harakati za kukiendeleza Kiswahili kuwa ngumu kwani nchi kinamozungumzwa Kiswahili hazina pesa za kupambana na mataifa makubwa yanayopigia upatu lugha zao. Kutokana na sababu hizo, kasi ya uundaji wa istilahi za kiteknolo

KUROOT SIMU AINA ZOTE

NYUMBANI JINSI YA APPS MUHIMU PAKUA APP YETU Feb 15/2018   10 JINSI YA KUROOT SIMU YAKO HOW TO ROOT YOUR PHONE Nini maana ya kuroot?? Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android.    Nini faida ya kuroot simu yako? Kubadili mwandiko Kuweka custom ROM Kununua vitu bure katika apps Kufuta app zilizokuja na simu Kuondoa matangazo Kuongeza kasi ya simu Kupunguza matumizi ya battery Hasara za kuroot Kuondoa warranty Hutoweza kupata updates na ukipata hutoweza kuziinstall Uwezekano mkubwa wa kuharibu simu yako JINSI YA KUROOT Kuna njia nyingi za kuroot lakini njia hii nayoenda kukufundisha ndio njia nzuri zaidi! HATUA : Pakua KINGROOT  PAKUA HAPA Hakikisha umeunganishwa na mtandao wa internet Bonyeza "TRY ROOT" nasubiri mpaka itapofika 100% (Simu inaweza kuzima na kuwaka wakati wa hatua hii, ni kitu cha kawaida na hakina madhara yoyote) Baada ya kumalizika utapokea ujumbe"ROOT SUCCESSF

KUONDOA VIRUSI KWENYE SIMU ZETU

Unapogundua simu yako ya Android smartphone imeingiliwa na virus ni vizuri kuhakikisha unaondoa haraka ili kupunguza hatari ya data zako kwenye simu kuharibiwa au kupotea kabisa.  Hapa nataka kukuelekeza jinsi ya kuondoa virus kwenye simu yako ya Android smartphone.  Kama unafikiri au umegundua kuwa simu yako imeingiliwa na virus, moja kati ya   free antivirus programs kwa ajili ya simu za Android ni : AVG AntiVirus. 1. kitu cha kwanza kufanya ni kupakua ( download) na ku-install AVG Antivirus kutoka  Google Play   au  INGIA HAPA 2.Baada ya kuwa umekubali (accepted)  permissions, umepakua (download) na ku-install hiyo application,  ifungue. Activate application na  click kwenye Protection option . 3.Halafu, kwenye orodha ya options, click kwenye " Scan Now ". Application itaanza ku-scan mafaili yote yaliyomo kwenye simu yako. 4.Antivirus hii itatafuta  viruses na malware  ambao wapo kwenye simu yako ya Android smartphone au tablet na baada ya kumaliza itawatoa virus wot