BAADHI YA MAENEO YALIYO PIGA KURA
Mada maalumu zimeandaliwa kwa ajili ya Matukio na
Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania. Mada hizo
zimepangwa tokana na Mikoa kama ilivyoanishwa hapa
chini;
1. Arusha - Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
2. Dar es Salaam - Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya
Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia
3. Dodoma - Dodoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
4. Geita - Geita - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
5. Iringa - Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
6. Kagera - Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
7. Katavi - Katavi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
8. Kilimanjaro - Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya
Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia
9. Lindi - Lindi - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
10. Manyara -Manyara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
11. Mara - Mara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
12. Mbeya - Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
13. Morogoro - Morogoro - Matukio na Matokeo ya
Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia
14. Mwanza - Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
15. Mtwara - Mtwara - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
16. Njombe - Njombe - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
17. Pwani - Pwani - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
18. Ruvuma - Ruvuma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
19. Rukwa - Rukwa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
20. Singida - Singida - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
21. Simuyu - Simiyu - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
22. Shinyanga - Shinyanga - Matukio na Matokeo ya
Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia
23. Tabora - Tabora - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
24. Tanga - Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu
2015 kama yanavyotujia
25. Pemba - Pemba - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
26. Unguja - Unguja - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
27. Kigoma - Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi
Mkuu 2015 kama yanavyotujia
Habari zaidi kuhusiana na Uchaguzi Mkuu 2015
1. Lowassa 'LIVE' ITV akiwa anapiga kura - Lowassa Live
ITV akipiga Kura Monduli
2. Magufuli 'LIVE' Star TV akiwa anapiga kura - Dr. John
Pombe Magufuli Live Star TV kupiga kura Chato
3. Mgombea Urais TLP ashindwa kupiga kura - Mgombea
Urais TLP ashindwa kupiga kura!!
4. Watanzania wakipongezana kwa kupiga kura - Hongera
Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura
5. Maalim Seif aitaka ZEC imtangaze mshindi - Maalim Seif:
Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza,
aitaka ZEC imtangaze mshindi
6. Makamba Atangaza siku ya Magufuli kutangazwa Rais -
Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29
oktoba 2015
7. Makamba acha kutuaribia Amani - January Makamba
acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako
mdogo wa kupambanua
=======
Mpaka sasa NEC imeshatangaza rasmi matokeo ya ubunge
majimbo 102, CCM wamechukua majimbo 63, CHADEMA
21, CUF 16, NCCR 1 na ACT 1.
Matokeo rasmi kutoka NEC:-
Matokeo Rasmi kutoka NEC -Matokeo rasmi ya Urais kwa
mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Kila jitihada zinazofanywa katika kufikia malengo fulani huwa hakukosi changamoto. Katika jitihada za kufanya Kiswahili kuwa lugha ya kiteknolojia kumetokea changamoto nyingi, moja wapo iliyo kuu kabisa ni kwamba lugha ya Kiswahili haimilikiwi na taifa lolote tajiri kwa hiyo katika harakatika za kuendeleza inakumbana na changamoto nyingi kama vile ukosefu wa fedha na hata utayari wa viongozi wa kisiasa kukiendeleza Kiswahili ni mdogo sana, hata hivyo harakati hizi zinapingwa na mataifa ambayo lugha zao zimeendelea sana kiteknolojia kwa kuhofia kwamba zitafunikwa na matumizi ya Kiswahili. Wapo tayari kutoa misaada ili kuendeleza lugha zao kukididimiza Kiswahili kitu ambacho kinafanya harakati za kukiendeleza Kiswahili kuwa ngumu kwani nchi kinamozungumzwa Kiswahili hazina pesa za kupambana na mataifa makubwa yanayopigia upatu lugha zao. Kutokana na sababu hizo, kasi ya uundaji wa istilahi za kiteknolo...
Maoni
Chapisha Maoni