MAOMBI YA MWENYE THAMBI:
Ombi la mwenye dhambi ni gani?"
Ombi la mwenye dhambi ni Ombi ambalo mtu huomba kwa
Mungu wakati anapotambua ya kwamba yeye ni mwenye
dhambi au ametenda thambi na anahitaji kusamehewa na
Mwokozi.
Kusema Ombi hili la mwenye dhambi haikamilishi
tayari kila kitu. Ombi la mwenye dhambi hufanya kazi tu
sawasawa linapokuwa limesimamia kile mtu anacho fahamu,
anacho elewa, na kukubali kuhusu dhambi zake na hitaji la
Wokovu.
Hatua ya kwanza ya Ombi la mwenye dhambi ni kufahamu
ya kwamba sisi sote ni wenye dhambi. Warumi 3:10 , “Kama
ilivyoandikwa,ya kwamba,Hakuna mwenye haki hata mmoja.”
Bibilia inaonyesha wazi ya kwamba sisi sote tumefanya
dhambi. Sisi sote ni wenye dhambi na tunahitaji rehema na
msamaha toka kwa Mungu
(Tito 3:5-7). Kwa ajili ya dhambi zetu,tunastahili
adhabu ya milele (Mathayo 25:46). Ombi hili la mwenye
dhambi ni kwa kutafuta neema badala ya hukumu. Ni ombi la
kuulizia rehema badala ya hasira kuu.rehema ni kuhesabiwa
haki usiyoistahili,
Hatua ya pili ya Ombi la mwenye dhambi ni kufahamu vile
ambavyo Mungu amefanya kwa ajili ya kutibu hali ya upotevu
wetu dhambini.Mungu alichukua mwili nakufanyika kuwa
mwanadamu katika utu wa Yesu Kristo (Yohana 1:1,14).
Yesu alitufundisha ukweli kuhusu Mungu na akaishi maisha
makamilifu yenye haki na yasiyo kuwa na dhambi (Yohana
8:46; 2 Wakorintho 5:21). Yesu alikufa msalabani kwa ajili
yetu, kwa kuchukua adhabu tuliyostahili (Warumi 5:8). Yesu
alifufuka kutoka kwa wafu kudhihirisha ushindi wake juu ya
dhambi,mauti,na jehanamu (Wakolosai 2:15; 2Wakorintho
15). Kwa ajili ya haya yote, tunaweza kusamehewa dhambi
zetu na kuahidiwa uzima wa milele Mbinguni-tutakapo weka
imani yetu ndani ya Yesu Kristo. Kile tunacho hitajika
kufanya ni kuamini ya kwamba alikufa kwa ajili yetu na
akafufuka kutoka kwa wafu (Warumi 10:9-10). Tunaweza
kuokolewa kwa neema tu, kupitia imani peke yake, kwake
Yesu pekee. Waefeso 2:8 “Kwa maana mmeokolewa kwa
neema,kwa njia ya imani;ambayo hiyo haikutokana na nafsi
zenu,ni kipawa cha Mungu.’’
Kusema Ombi hili la mwenye dhambi ni njia ya rahisi ya
kumwelezea Mungu yakuwa unamtegemea Yesu Kristo kama
mwokozi wako. Hakuna maneno ya kiuganga yenye kuleta
wokovu. Ni kwa imani tu ndani ya kifo cha Yesu na kufufuka
kwake vinavyo weza kutuokoa. Kama unafahamu yakwamba
wewe ni mwenye dhambi na unahitaji wokovu kupitia kwa
Yesu Kristo, hapa kunalo Ombi la mwenye dhambi
unaloweza kuomba kwa Mungu:
Sala hii ni ya muhimu sana kama kweli
umetambuwa uovu wako ulioutenda:
“ Mungu, najua yakwamba mimi ni mwenye dhambi.
Ninajua ya kwamba ninastahili adhabu ya dhambi zangu.
Hata hivyo,ninamwamini Yesu Kristo kama mwokozi wangu.
Ninaamini ya kwamba kifo chake na kufufuka kwake ilikuwa
ni kwa ajili ya msamaha wangu. Ninamwamini Yesu na Yesu
peke yake kama Bwana na Mwokozi wangu. Ahsante
Bwana,kwa kuniokoa na kwa kunisamehe! Amina!’’
Kama umemaanisha hii sala ni msaada mkubwa
sana kwako hata mimi niliamuwa kama wewe mchana
kweupe bila uwoga wala aibu,fahamu tu kuwa kuokoka siyo
Dini bali ni kuchaguwa usalama wa maisha yako sasa naya
Baadaye hongera na Mungu akubariki na kukusaidia kwa
haya maisha mapya uliyoyaamuwa wewe mwenyewe,
ukiamuwa kutushuhudia kile Mungu alichokufanyia
ili tumshukuru Mungu pamoja usisite kutuandikia au
kutupigia simu no 0756809209/0784713604/076608801,au
Samsonoxpel@gmail.com karibu sana”
NYUMBANI JINSI YA APPS MUHIMU PAKUA APP YETU Feb 15/2018 10 JINSI YA KUROOT SIMU YAKO HOW TO ROOT YOUR PHONE Nini maana ya kuroot?? Kuroot simu ni kitendo cha kuifanya simu iweze kufanya mambo ambayo hayawezi kufanyika katika mfumo wa kawaida wa android. Nini faida ya kuroot simu yako? Kubadili mwandiko Kuweka custom ROM Kununua vitu bure katika apps Kufuta app zilizokuja na simu Kuondoa matangazo Kuongeza kasi ya simu Kupunguza matumizi ya battery Hasara za kuroot Kuondoa warranty Hutoweza kupata updates na ukipata hutoweza kuziinstall Uwezekano mkubwa wa kuharibu simu yako JINSI YA KUROOT Kuna njia nyingi za kuroot lakini njia hii nayoenda kukufundisha ndio njia nzuri zaidi! HATUA : Pakua KINGROOT PAKUA HAPA Hakikisha umeunganishwa na mtandao wa internet Bonyeza "TRY ROOT" nasubiri mpaka itapofika 100% (Simu inaweza kuzima na kuwaka wakati wa hatua hii, ni kitu cha kawaida na hakina madhara yoyote) Baada ya kumalizika utapokea ujumbe"ROOT...
Maoni
Chapisha Maoni