HELIKOPTA Ya polisi yafanya dhiara wilayani kiteto kukomesha mauaji kati ya wakulima na wafugaji serikali yaamua kufanya jitihada kubwa kuwatia nguvuni wahusika baadhi ya watu wanashikipiwa na jeshi la polisi kwa upelelezi zaidi hadi sasa inasemekana kuwa watu zaidi ya saba wamepoteza maisha na huku ikisemekana mnamo tarehe 13/11/2014 baadhi ya raia wametiwa nguvuni kwa tuhuma za kukutwa wemechinja ng'ombe ambayo si mali yao
usemi usemao kufa kufaana unatimia
wananchi wa eneo la mapigano wanunua nyama kilo moja sh 2000iliyokuwa ikiuzwa kilo sh4000
wananchi wapongeza serikali kwa juhudi za kuleta askari wengi zaidi .
Maoni
Chapisha Maoni